Unordered List

Definition List

Mwonekano Mpya Wa Lady Gaga

Lady Gaga anajulikana kama mwanamziki anayekuwa na taste tofauti ya kuvalia nguo aina yake.

Round hii Gaga ameonekana mitaa ya Manhattan akiwa amevalia wigi na rinda la silki.

Staa huyu wa nyimbo Applause ameonekana kwa muda akivalia nguo za nyakati za zamani.

Kando na kuwa mwanamziki, Lady Gaga ni model na anamiliki fashion label inayojulikana kwa Haus of Gaga.

Huu mwonekano mpya wauonaje?
Mwonekano Mpya Wa Lady Gaga Mwonekano Mpya Wa Lady Gaga Reviewed by Admin on Wednesday, June 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.