Unordered List

Definition List

Picha: Risper Faith Aumbuka Kwa Kuvalia Hili Vazi La Mitego


Risper Faith anajulika zaidi nchini Kenya kwa kupiga picha za mitego lakini kwa muda mrefu alikuwa amejificha kutoka media.

Round hii amerudi kwa gemu lakini akiwa na tofauti wa 'kimaumbile' ambao hatujauzoea.

Risper amepiga picha akiwa amevalia nguo ya kuogelea aka swimsuit lakini kwa umakini utaona kuwa tumbo lake limekuwa kubwa kwa mafuta.


Picha hii exclusive ya NE imeirusha maksudi picha hii kuonyesha kuwa umbo la Risper limepotea na labda aanze kurudi mazoezini kama vile Shilole anavyofanya mida hii.
Picha: Risper Faith Aumbuka Kwa Kuvalia Hili Vazi La Mitego Picha: Risper Faith Aumbuka Kwa Kuvalia Hili Vazi La Mitego Reviewed by Admin on Friday, June 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.