Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz Awasili Mbeya Na Private Jet


Wakati wasanii wakipiga safari ya kwenda kupiga show, huku Platnumz mdogo mdogo alipaa kwa private jet hadi mjini songea, Diamond Platnumz amekuwa ni mmoja wa wasanii wachache wenye uwezo wa ku-maintain Star Quality, akiwa ndiye anayeiwakilisha mziki wa Tanzania hivi sasa Dunia nzima. Hii ni leo dakika chache tu zilizopita, baada ya kuwasili mjini Songea katika harakati za kuperform kwenye Kilimanjaro Awards Tour, akiwa ndiye msanii pekee aliyeweza kuvunja rekodi ya kuondoka na tuzo saba kwenye category zote alizokuwa anawania katika tuzo za Kilimanjaro Music Awards zilizofanyika mapema mwaka huu.
Diamond Platinumz Awasili Mbeya Na Private Jet Diamond Platinumz Awasili Mbeya Na Private Jet Reviewed by Admin on Sunday, June 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.