Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Amshambulia Aliyeanzisha Uzushi Wa Kuwa Ni Mjamzito

Miss Tanzania 2006 pia Actress mwanadada mwenye nyota ya ajabu Tzee Wema Sepetu a.k.a Mrs .Nasibu Abdul alias Daimond Platinum amemtaja mtu ambaye alimzushia kwamba ana ujauzito kwenye mtandao mmoja wa kijamii wa Instagram kuwa ni shabani amri ambaye anapatikana kwa jina @shabani amri5

“Halafu usione nakaa kimya mkaona labda siumii kizazi ulinipa wewe?….. mpaka uniamrishe nizae…Sina kizazi sasa …kama unaweza nipe nizae..Dah! nawavumilia tu…mi pia binadamu nina moyo…unahisi kwa akili yako sitaki mtoto ama nini? …Zaa zaa zaa …kama wewe umebarikiwa kuzaa hongera..Im tired of this kuzaa bullshit….!!!Leave me and my Life alone“ aliandika wema kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Wema Sepetu Amshambulia Aliyeanzisha Uzushi Wa Kuwa Ni Mjamzito Wema Sepetu Amshambulia Aliyeanzisha Uzushi Wa Kuwa Ni Mjamzito Reviewed by Admin on Saturday, June 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.