Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Akana Kuwa Mja Mzito

Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito…

Kupitia page yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatoleawapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But imnat wapenzi wangu’


Wema Sepetu Akana Kuwa Mja Mzito Wema Sepetu Akana Kuwa Mja Mzito Reviewed by Admin on Tuesday, June 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.