Unordered List

Definition List

Rihanna Ashambuliwa Tena, Round Hii Ni Mtoto Wa Mmoja Wa TLC


Siku chache zilizopita Rihanna alishambuliwa na kundi TLC kwa kuvalia nguo za uchi katika fasheni ya CFDA Awards, jambo ambalo lilizua kizaa zaa kati ya kundi hilo na Rihanna.

Ilimfanya hadi Rihanna kurusha picha za uchi za kundi hilo kwa akaunti yake.

Hii haikumridhisha kamwe mtoto wa mmoja wa kundi hilo la TLC ajulikanae kwa jina Chase.

Katika akaunti yake ya Instagram, Chase alimpa makavu Rihanna na kudai kuwa bila TLC hakungekuwa mtu anayeitwa Rihanna. Aliongezea kusema kuwa ile picha ya uchi alioionyesha hakupendezwa nayo kwani inamuaibisha mamake T-Boaz.
Pia katika hio status aliongezea kuwa picha za Rihanna za uchi zimetapakaa hadi kufanyiwa kufungiwa akaunti na mtandao wa Instagram.

Cheki status yenyewe

Rihanna Ashambuliwa Tena, Round Hii Ni Mtoto Wa Mmoja Wa TLC Rihanna Ashambuliwa Tena, Round Hii Ni Mtoto Wa Mmoja Wa TLC Reviewed by Admin on Tuesday, June 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.