Unordered List

Definition List

Kajala Adai Amechoshwa Kuishi Bongo

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale lakini kwa sasa hana upendo huo kwa kuwa kuna watu wanaishi kwa kutegemea bifu.

“Unajua inauma sana, unaenda klabu unamkuta mtu ambaye huko nyuma alikuwa shoga’ko, kula, kuvaa na kila aina ya ushirikiano mnapeana, sasa mnakuja kugombana, kiukweli roho huwa inauma ndiyo maana nashindwa hata kwenda klabu kuepusha mengi, nasubiria viza yangu itoke nisepe zangu China,”alisema Kajala.

Kwa muda mrefu kumekuwa na ugomvi usiokwishakati ya Kajala na mwigizaji mwenzake, Wema Sepetu.-GPL
Kajala Adai Amechoshwa Kuishi Bongo Kajala Adai Amechoshwa Kuishi Bongo Reviewed by Admin on Wednesday, June 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.