Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aonyesha Chuchu Zake Kwa Instagram, Anai Ni Bahati Mbaya


Tangu mtandao wa Facebook kujeuza masharti na matumizi yake kwa kuruhusu wanawake kuonyesha chuchu zao kwayo, sasa Kim Kardashian ameanza kuipima imani Instagram kwa kurusha picha za kuonyesha chuchu. Hivi majuzi Kim alivalia nguo ya 'see through' ambayo ilionyesha chuchu zake na sahizi Kim ameonyesha kabisa kweupe katika akaunti yake ya Instagram.

Baada ya kuweka hii picha Kim alidai kuwa picha hio aliipiga kibahati mbaya na ilikuwa si makusudi yake kuonyesha chuchu zake.

Ok kama si maksudi yake labda Kim alijaribu kuziba hio sehemu na nywele zake ndefu lakini kwa bahati mbaya haikuziba.

Ama pia Kim amejaribu kutuchezea, labda amevalia aina flani ya sidiria inayofanana na chuchu. Lakini si tungeweza kuona kamba?

Lakini tujuavyo ni kuwa Kim kabla kurusha picha yeyote Instagram lazima azipige msasa. So kuinyesha chuchu zake hapa lazima kuna maksudi fulani.

Mwanzoni mwezi huu Rihanna aliweza kupigwa marufuku Instagram baada ya kurusha picha za chuchu zake live sasa sijui kama Kim Kardshian ataingia kwa hio list ama vipi?
Kim Kardashian Aonyesha Chuchu Zake Kwa Instagram, Anai Ni Bahati Mbaya Kim Kardashian Aonyesha Chuchu Zake Kwa Instagram, Anai Ni Bahati Mbaya Reviewed by Admin on Saturday, June 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.