Unordered List

Definition List

Vera Sidika Adai Kuwa Wanaume Wa Kenya Hawawezi Kumla Uroda Kwa Kuwa Wao Ni Maskini


Vera Sidika amehamia nchini Nigeria kwa sababu amechoshwa na wanawake wa Kenya ambao kila kukicha wanamponda kwa kujichubua ngozi na mwili wake.

Sahizi Vera amehamia nchini Nigeria akiwa na mpenzi wake wa huko huko(wakenya maziwa lala).

Kulingana na Vera anataka wakenya wafuate shughli zao na wasijishughlishe na maisha yake. Vera amedadisi kuwa anashangazwa na wanawake wakenya wenye sura mbovu ambao wanavalia wigi feki(wigi moja ya Vera yaweza kununua ardhi Mtwara) kumuingilia ilhali maisha yao ni yakubambanya.

Pia Vera aliwaingilia wanaume wote wanaomponda kwa mitandao na kuwataja kama wanaume wambea na maskini ambao kamwe hawawezi kuthubutu kufikia kuuona uroda wake.

Hivi ndivyo alivyoandika kwa mtandao wake:

Human beings always and must have a problem with everything.Bitches be like "your legs too black. Bleach em. Oh, now your legs too white. Get a tan. Then be like your eyebrows not well done. Oh you have a moustache wax it. Why you wearing fake hair (when they also got weaves on) Oh your nose too big. Get a nose job. Oh, why your forehead like that. Damn, your‪#‎tbt pic you were so black likecharcoal and ugly. Bitch you so white now. Why are you bleached? Lmao .Next I'm gonna hear "why your cl!t too long and p()$$y phat!? Fix it!--Even when none ofy'all fuck it or get anywhere close to it.
Smh That's why I say in this life, do whatever makes you happy. Fcuk what anybody thinks. At the end of the day,when you're going down (even when u were nice to people) YOU'RE GOING DOWN ALONE!!!������

Wakenya wanajulikana kuyaingilia maisha ya mastaa wao bila kujiangalia maisha yao wenyewe. Hivi juzi Corazon Kwamboka alitishia kuhamia Kenya iwapo madada wa Kenya hawatoacha kumuingilia.
Vera Sidika Adai Kuwa Wanaume Wa Kenya Hawawezi Kumla Uroda Kwa Kuwa Wao Ni Maskini Vera Sidika Adai Kuwa Wanaume Wa Kenya Hawawezi Kumla Uroda Kwa Kuwa Wao Ni Maskini Reviewed by Admin on Monday, June 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.