Unordered List

Definition List

Agness Masogange Ajipiga Picha Akiwa Kitandani Akiugua, Bado Urembo Ni Ule Ule

Siku ya jana katika mtandao wa kijamii Agness Masogange alirusha picha kwa mtandao na kudai kuwa anaugua ugonjwa wa malaria na zaidi mafua yanamsumbua.

Kama tujuavyo mtu akiugua malaria husumbuka hadi sura yake, tofauti kwa Masogange.

Cheki picha aliyoiachilia kwa mtandao kuonyesha anaugua.


Baada ya hio picha Agness aliambatanisha haya maneno:
"MALARIA but aluta continua i wonder if flu has medication"


Halafu wauona mtindo mpya wa nywele wa Masogange?
Agness Masogange Ajipiga Picha Akiwa Kitandani Akiugua, Bado Urembo Ni Ule Ule Agness Masogange Ajipiga Picha Akiwa Kitandani Akiugua, Bado Urembo Ni Ule Ule Reviewed by Admin on Saturday, June 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.