Unordered List

Definition List

Agness Masogange Akimbilia Sauzi Kuhepa Skendo Bongo

Imebainika kuwa mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda kuishi South Africa kutokana na skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile ya madawa ya kulevya ambayo alikamatwa South Africa lakini alishinda kesi na kuachiwa.

Rafiki yake wa karibu aitwaje Jeniffer alihabarisha mtandao huu na kusema Masogange ameenda huko ili kutulia kwa sababu Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa vidole kitu ambacho alikuwa hakipendi kabisa.
'Si kweli amepata Maisha mazuri kama alivyosema' chanzo kilidadisi.
Agness Masogange Akimbilia Sauzi Kuhepa Skendo Bongo Agness Masogange Akimbilia Sauzi Kuhepa Skendo Bongo Reviewed by Admin on Sunday, June 22, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.