Unordered List

Definition List

Ney Wa Mitego Ajinunulia Gari Mwenyewe Kama Zawadi Yake Ya Siku Ya Kuzaliwa


Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio katika muziki , Ney aliandika haya katika profile yake

"Nimejinunulia Gari Aina ya Murano Kama zawadi ya Birthday yangu , Limenigharimu Shilingi Mil 36 za Kitanzania , ni la Mwaka 2007 so bado ni Jipya Kabisa, One Love kwa mashabiki wangu
Ney Wa Mitego Ajinunulia Gari Mwenyewe Kama Zawadi Yake Ya Siku Ya Kuzaliwa Ney Wa Mitego Ajinunulia Gari Mwenyewe Kama Zawadi Yake Ya Siku Ya Kuzaliwa Reviewed by Admin on Tuesday, June 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.