Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Afichua Siri Ya Millard Ayo

Watu wengi sana watakuwa wanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha Claouds Fm cha Amplifay.

Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezo wake na kwa staili yake ya pekee ya kufikisha habari, ila wengi walikuwa hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda sana nyumba, ana ndoto siku aje kusimamisha mjengo wake wa nguvu hapa town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia kurakuchagua#AMPLIFAYAkama kipindi cha Radio kinachopendwa.
Wema Sepetu Afichua Siri Ya Millard Ayo Wema Sepetu Afichua Siri Ya Millard Ayo Reviewed by Admin on Wednesday, June 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.