Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Selfie; Aonyesha Tumbo Lake

Baada ya kurusha picha zikimuonyesha umbo lake perfect la bikini, sasa Kim ameamua kuonyesha kuwa tumbo lake limekuwa tambarare kabisa japo kuwa amejifungua mtoto Nori takriban mwaka mmoja uliopita.

Umbo hili linatokana kwa kuwa Kim Kardashian anajishughulisha zaidi katika kufanya mazoezi katika mwili wake.

Tetesi sahizi ni kuwa kuna uvumi kuwa ndoa ya Kimye imeingia dorasi, lakini hii yaonekana haipo akilini mwa Kim kabisa baada ya kuweka picha hizi mbili.

Cheki picha zenyewe





Kim Kardashian muda huu yupo Mexico kwa honeymoon yake na Kanye, labda hata wanaweza kuchomoka Rio siku moja kuachalia Samba dance.
Kim Kardashian Selfie; Aonyesha Tumbo Lake Kim Kardashian Selfie; Aonyesha Tumbo Lake Reviewed by Admin on Saturday, June 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.