Unordered List

Definition List

Picha: Alivyovalia Kim Kardashian Katika Birthday Party Ya Khloe Kardashian

Bila shaka Kim Kardashian ni baadhi ya mastaa wachache Hollywood wenye shepu ya kuvutia na Kim hana haya yeyote ya kuonyesha.

Siku ya tarehe 27 katika birthday party ya Khloe Kardashian ambaye yuko 30, Kim aliyaonyesha mambo yake ya kawaida, kifua chake na mwili wake.

Khloe aliweza kuzawadiwa gari aina ya jeep kutoka kwa mpenzi wake French Montana kando na supraiz ya pete ya gharama $25,000.

Cheki picha ya Khloe na Montanna wakilana muchu katika yatch party


Halafu picha za Kim Kardashian






Haya ndio yaitwa maisha ya kistaa.
Picha: Alivyovalia Kim Kardashian Katika Birthday Party Ya Khloe Kardashian Picha: Alivyovalia Kim Kardashian Katika Birthday Party Ya Khloe Kardashian Reviewed by Admin on Sunday, June 29, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.