Unordered List

Definition List

Chris Brown Abebwa Kama Maiti Baada Ya Kulewa Chakari After BET Awards

Kila mtu anafahamu kuwa Chris Brown alitiwa mbaroni kwa kosa la kumpiga Rihanna.

Lakini pia Chris Brown yuko ndani ya uchunguzi kwa sababu ya utumizi mbaya wa tembo na dawa za kulevya.


Baada ya kufanya shoo ya kutetemesha BET Awards 2014, Chris alijikuta akiinjoy maisha ya huru kwa kulewa vile atakavyo.

Katika video footage iliyopigwa na rafiki yake, Chris Brown ameonekana kama mlemavu vile huku akibebwa na mabausa wake hadi kwa gari.

Cheki video yenyewe:


Hii inamaana kuwa Chris Brown amekiuka maagizo aliyopewa yakutotumia vileo. Hadi sasa hakujatoka ripoti official kama Chris atarudi kizimbani au la.

Tegea humu ndani kwa mapya yatakayojiri

Chris Brown Abebwa Kama Maiti Baada Ya Kulewa Chakari After BET Awards Chris Brown Abebwa Kama Maiti Baada Ya Kulewa Chakari After BET Awards Reviewed by Admin on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.