Unordered List

Definition List

Mpenzi Wa Hemedy PHD Ambaye Anapania Kumuoa


Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.

Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana morethan sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu vingi kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi November
Mpenzi Wa Hemedy PHD Ambaye Anapania Kumuoa Mpenzi Wa Hemedy PHD Ambaye Anapania Kumuoa Reviewed by Admin on Friday, June 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.