Unordered List

Definition List

Mhubiri Alazimishwa Kufanya Ndoa Na Maiti Baada Ya Siri Kufikucha


Mhubiri aliyekuwa akila uroda na binti ya watu atamani dunia immeze mzima mzima baada ya familia ya msichana kwa jina Vixen 28 kugundua kuwa pasta huyo kwa jina Hillary alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanao.

Vixen ambaye aliaga dunia siku chache baada ya kujifungua mtoto, alifunguka katika pumzi zake za mwisho kuwa alikuwa na mahusiano ya siri ya kimapenzi na mhubiri huyo.

Inadaiwa kuwa mhubiri huyo 29 akiweza kuwa na mapenzi ya siri na mwanadada huyo ambaye alikuwa mwimbaji wa choir ya kanisa. Kuepuka skendo zozote, waliamua kufanya mapenzi yao yawe ya kizani.

Kulingana na taarifa kutoka kwa babake mwendazake, haikujulikana chochote hadi baadaye ambapo mtoto wao alikuwa akiugua baada ya kujifungua (mhubiri huyo alimficha mwanadada huyo hadi alipojifungua)

Jombi huyo ambaye sahizi yupo katika kituo cha ujasusi (CID) cha Yaba jijini Lagos, anatakiwa na familia ya mwanamke wafanye matambiko ya kienyeji ambapo ni lazima mtoto wao aolewe hata kama amefariki, jambo ambalo mchungaji huyo amelikubali shingo ipande.

Tisha!
Mhubiri Alazimishwa Kufanya Ndoa Na Maiti Baada Ya Siri Kufikucha Mhubiri Alazimishwa Kufanya Ndoa Na Maiti Baada Ya Siri Kufikucha Reviewed by Admin on Monday, June 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.