Unordered List

Definition List

Leonardo Di Caprio Asafiri Brazil Na Jahazi Inayoaminika Kumilikiwa Na Mmiliki Wa Manchester United

Ukitaka kujua kuwa watu wananoga vyema katika nyanga ya usafiri hebu mfuatilie Leordardo DiCaprio.

Staa huyu anayesifika na filamu yake ya Wolfs of Wall Street kama wengine alitaka kuangalia kombe la dunia live.

Lakini kujitofautisha na wote alitumia jahazi aka yacht ijulikanayo kwa jina The Topaz kusafiri hadi Brazil.



Topaz ina urefu wa futi 482 (inaaminika kuwa namba 5 kubwa zaidi ulimwenguni) na inamilikiwa na mmiliki wa Manchester United.

Leo na marafiki zake 21 waliweza kujivinjari ndani ya jahazi hilo kwa siku nzima wakisafiri hadi Rio di Janeiro .

Kiufupi ni kama ambaye walikuwa katika kisiwa kinachoogelea
Leonardo Di Caprio Asafiri Brazil Na Jahazi Inayoaminika Kumilikiwa Na Mmiliki Wa Manchester United Leonardo Di Caprio Asafiri Brazil Na Jahazi Inayoaminika Kumilikiwa Na Mmiliki Wa Manchester United Reviewed by Admin on Saturday, June 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.