Unordered List

Definition List

Beyonce Na Jay Z Wakifanya Yao BET Awards Na Ngoma Partition

Chris Brown ameweza kurudi na full mzuka baada ya kupiga shoo bab kubwa BET.
Lakini Beyonce na Jay Z ndio walioufunga ukumbi mzima baada ya kufanya performance yao.

Wawili hawa ambao wako katika ziara ya 'On The Run' waliweza kuzua hisia wakati walipokuwa wakiimba nyimbo ya 'Partition'

Cheki video yenyewe:


Katika Awards hizo mwanzoni, Lupita Nyong'o na Davido walichukua tuzo wakimuacha Diamond akila ngumu. Cheki full list ya washindi wa BET Awards 2014
Beyonce Na Jay Z Wakifanya Yao BET Awards Na Ngoma Partition Beyonce Na Jay Z Wakifanya Yao BET Awards Na Ngoma Partition Reviewed by Admin on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.