Unordered List

Definition List

Hivi Ndivyo Google Inavyoshabikia Kombe La Dunia Leo

Siku ya leo Google wanasherehekea kombe la dunia kimtindo.

Katika google.com, Google wameweka bendera ya Belgium na Algeria, timu ambazo zinacheza mpira leo halafu wamemueka pweza maarufu Paul ambaye alikuwa akitabiri kombe la world cup la 2009 katika suntofahamu kuchagua nani mshindi.

Picha yenyewe:
Hivi Ndivyo Google Inavyoshabikia Kombe La Dunia Leo Hivi Ndivyo Google Inavyoshabikia Kombe La Dunia Leo Reviewed by Admin on Tuesday, June 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.