Unordered List

Definition List

Picha: Huddah Monroe Akiwa Mtoto Mdogo


Siku hizi mtindo wa mtandao ni kurusha picha za zamani kwa mitandao ya kijamii aka #throughBackThursday.

Kila siku za alhamisi watu maarufu huingia na kurusha picha hizi lakini picha hii ya Huddah Monroe aliirusha kwa mtandao wake wa kijamii wikendi iliyopita Jumapili.

Imemuonyesha Huddah akiwa mdogo kabisa, miaka 2 hivi


Huddah aliambatanisha haya maneno:
OMG! So that's me at I dunno how old. No weave , no make up , earrings must! LOL! Clearly Sunday should be a throwback day. I miss them days , I didn't have to worry about life or anything. Just cry and it's delivered! Aww! Hope my baby will look just like me!
Picha: Huddah Monroe Akiwa Mtoto Mdogo Picha: Huddah Monroe Akiwa Mtoto Mdogo Reviewed by Admin on Friday, June 20, 2014 Rating: 5

3 comments:

  1. huyo mtoto angejua kama angekua Huddah wa sasa sijui angesikiaje

    ReplyDelete
  2. huyo mtoto angejua kama angekua Huddah wa sasa sijui angesikiaje

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.