Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Arusha Picha Ya Birthday Ya North West

Siku ya Jumamosi  ilikuwa ya furaha kwa North West kwani aliweza kufanyiwa birthday kubwa ambayo ilitambulishwa kama Kidchella kukiwemo vitu kadhaa vya watoto kuchezea.
Kim katika Instagram alirusha picha kwa mtandao na kuambatanisha haya maneno “Our baby girl’s 1st birthday party! #kidchella,”

Kama walivyoavidi awali, Kimye wameapa kumharibu mtoto wao kitajiri kwa kumpatia starehe ambayo haijawahi kuonekana na mtoto yeyote hapa duniani.

North West aliweza kutimia mwaka mmoja siku ya tarehe 15 mwezi Juni.
Kim Kardashian Arusha Picha Ya Birthday Ya North West Kim Kardashian Arusha Picha Ya Birthday Ya North West Reviewed by Admin on Monday, June 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.