Unordered List

Definition List

LULU AFUNGUKA KUHUSU JELA, PIA AMTAJA BABU SEYA NA MWANAYE


“Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiyemwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!

Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...
Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...

Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...AMEN” Hayo ni maneno ya mwanadada Elizabeth Michael (LULU) aliyoyaandika kupitia kwenye mtandao akiwaombea kheri Mzee Nguza na mwanawe Papii Kocha toka atoke jela, mwanadada Lulu ameonekana kubadilika sana kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.
LULU AFUNGUKA KUHUSU JELA, PIA AMTAJA BABU SEYA NA MWANAYE LULU AFUNGUKA KUHUSU JELA, PIA AMTAJA BABU SEYA NA MWANAYE Reviewed by Admin on Wednesday, June 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.