Unordered List

Definition List

Vera Sidika Afanyiwa Mahojiano Na Al-Jazeera


Staa anayedai kutumia gharama nyingi zaidi kwa mwili wake Vera Sidika amekuwa gumzo zaidi katika mitandao ya kijamii haswa Twitter wikendi hii iliyopita.

Na sahizi kuonyesha kuwa ameuteka umaarufu, staa huyu amefanyiwa mahojiano na shirika la kimataifa la Al Jazeera.

Mahojiano hayo yanajiri baada ya Vera Sidika kufunguka katika runinga ya NTV Kenya kuwa kujichubua mwili wake kulimgharimu Ksh. 50 Milioni.

Vera alifanya mahojiano hayo na ripota wa aje Malcolm Webb.

Vera Sidika Afanyiwa Mahojiano Na Al-Jazeera Vera Sidika Afanyiwa Mahojiano Na Al-Jazeera Reviewed by Admin on Monday, June 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.