Unordered List

Definition List

Makalio Ya Vera Sidika Si Feki, Yamehakikishwa Na Chanzo Cha Kuaminika.


Finally imejulikana kuwa makalio ya Vera Sidika ni original na hakuna mchina wowote uliotumika.

Hii ni baada ya staa huyu mwenye shepu ya kuvutia kuulizwa kama makalio yake ni halali.

Kwa kujibu swala hilo, Vera bila kubabaika alimwambia Larry Madowo amshike makalio yake mbele ya kipindi cha The Trend kilichokuwa kikipeperushwa live kuyahisi vile yako soft kama pamba.

Bila kusita moderator huyo alianza kudondokwa na mate mbele ya kamera (hakuweza kuyashika hapo hapo) sababu alikuwa amepata nafasi ya kwanza kabisa maishani mwake kupewa nafasi hio ya bure kutoka kwa mwanadada huyo.


Wakati shoo ilipoisha mbali na kamera, duru zinadai kuwa Vera Sidika kwa mara nyingine alisisitiza kwa lazima kuwa Larry Madowo amshike makalio yake kuhakikisha.

Vera alifunguka katika mahojiano na Larry na kudai kuwa mwili wake ndio biashara yake
Makalio Ya Vera Sidika Si Feki, Yamehakikishwa Na Chanzo Cha Kuaminika. Makalio Ya Vera Sidika Si Feki, Yamehakikishwa Na Chanzo Cha Kuaminika. Reviewed by Admin on Sunday, June 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.