Siku ya Jumamosi ilikuwa pigo kuu kwa Diamond Platinumz ambaye alitarajiwa kutangazwa angalau mshindi wa tuzo moja katika MaMas.
Tuzo hizo zilifanyika nchini Afrika Kusini jijini Durban ambapo wasanii toka Marekani Trey Songs na French Montana waliweza kuvurumisha jukwaa zima.
Ijapokuwa Diamond aliangusha shoo kubwa, hakuweza kushinda tuzo lolote licha ya kuwa alipigiwa upato wa kushinda tuzo la Best Collaboration akimshirikisha Davido
Tatizo lilitokea wapi?
Kulingana na historia ndefu ya MaMas ni kuwa nchi za Nigeria na South Africa ndizo humiliki mchezo mzima katika tuzo hizo na sababu kuu ni kuwa nchi hizo mbili wana idadi kubwa ya watu wa kuvote. Hii kwa miaka mingi imeweza kuzitenga nchi ndogo kushinda tuzo hizo kwa wasanii wake.
Tatizo jingine ni kuwa Diamond Platinumz ni mchanga zaidi katika awards za kimataifa hivyo ni vigumu tutambulika kwa urahisi.
Ijapokuwa Diamond Platinumz nyimbo zake ni kali, hadhira yake ni ndogo. Diamond kushinda artist of the year ilikuwa ni kama ndoto kwani nyimbo zake kwa kuwa anatumia lugha moja, ilikuwa vigumu kumshinda Davido kivyovyote.
Watanzania wabinafsi. Tanzania imejaa watu wengi ambao wanamchukia Diamond kwa kuwa amefanikiwa kimaisha na kiumaarufu. Kumshambulia kweupe kwa blogs na mitandao ya kijamii kumempunguzia nafasi ya ushindi, kando na kuwa wengi hawakushiriki kwa votes.
MTV MaMas haikuangazwa ipasavyo kama vile ya BET AWARDS sahizi. Wengi wanaiangalia BET zaidi na walisahau kama kulikuwa na MaMas.
Hizi ni baadhi tu ya maoni kwa nini Diamond hakushinda tuzo.
Tunavyoona sahizi ni kuwa pia tuzo la BET linaweza kumponyoka Diamond kwa kuwa msingi tayari umeharibika hata kama anaongoza kwa votes.
Mabadiliko yataanza na wewe kama wataka wasanii wako waingie international level.
All in all hongera kwa platinumz.
Cheki full list ya washindi wa MTV MaMas
Best Male:
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria) WINNER
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Best Female:
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)Tiwa Savage (Nigeria)WINNER
Best Group:
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)WINNER
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)
Best New Act:
Burna Boy (Nigeria)
Heavy K (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Stanley Enow (Cameroon)WINNER
Uhuru (South Africa)
Best Live Act:
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)WINNER
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)
Best Collaboration:
Amani ft. Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola) WINNER
Artist of the Year:
Davido (Nigeria) WINNER
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)
Song of the Year:Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee – ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa) WINNER
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)
Best Hip Hop:AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)WINNER
Best Pop:
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa) WINNER
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)
Best Alternative:
Gangs of Ballet (South Africa)WINNER
Michael Loman (South Africa)
Nakhane Toure (South Africa)
Parlotones (South Africa)
Shortstraw (South Africa)
Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)WINNER
Youssoupha (Congo)
Best Lusophone:
Anselmo Ralph (Angola) WINNER
JD (Angola)
Lizha James (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Yuri Da Cunha (Angola)
NON MUSIC CATEGORIES
Personality of the Year:Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)WINNER
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)
Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)WINNER
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)
Maoni haya yametolewa na mhariri wa bkuHABARI. Hakuna ithibati yeyote kama yanaweza asilimia mia sawa.

Kwa Nini Diamond Platinumz Hakushinda Tuzo MTV MaMas
Reviewed by Admin
on
Sunday, June 08, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano