Unordered List

Definition List

Wastara Apinga Wasanii Kuagwa Leaders

Akizungumza na gazeti namba moja la habari za mastaa na kijamii Bongo, Ijumaa Wikienda juzikati, Wastara alieleza kwa huzuni kubwa kuwa hafurahii eneo la Leaders kutumika kuagia kwa sababu ni eneo hilohilo ambalo hutumiwa kwa starehe.

“Ukweli kwa upande wangu napinga mastaa kuagwa Leaders kwa sababu Leaders mara nyingi hutumika kama sehemu ya anasa."

“Ningeiomba serikali itutafutie sehemu maalum kwa ajili ya kufanyia shughuli zote za misiba ya watu maarufu,” alisema Wastara.
Wastara Apinga Wasanii Kuagwa Leaders Wastara Apinga Wasanii Kuagwa Leaders Reviewed by Admin on Monday, June 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.