Unordered List

Definition List

Lulu Michael Akana Kuhusishwa Katika Video Ya Kundi La Mapacha


Kundi la Mapacha jana (June 23) wametambulisha ngoma yao mpya baada ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo ambao wamedai wamemshirikisha muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael aka Lulu.

Lakini Lulu leo amekana kushirikishwa katika wimbo huo kwa kusema kuwa hana taarifa zozote wala haujui wimbo huo.

Hiki ndicho alichokiandika Instagram:

“Mwe mwe mwe…!Mbona mnaninyasanyasa…’in Senga’s voice’I swear sina idea na Huku kushirikishwa….au kuna Elizabeth Michael’Lulu’ mwingine!????Dah…hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambieMana nashirikishwa ki miujiza jmn”.

Wimbo mpya wa Mapacha unaoitwa ‘Time For The Money’ umetengenezwa na Tudd Thomas.
Lulu Michael Akana Kuhusishwa Katika Video Ya Kundi La Mapacha Lulu Michael Akana Kuhusishwa Katika Video Ya Kundi La Mapacha Reviewed by Admin on Tuesday, June 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.