Unordered List

Definition List

Siwezi Kuwa Na Uhusiano Wa Kimapenzi Na Diamond Platnumz

KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea penzi na mwigizaji Wema Sepetu.

Akistorisha na Ijumaa Wikienda, Hamisa alisema watu wamekuwa wakimkosea kumtaja kuwa anaweza kutoka na Diamond Platnumz wakati hawezi kufanya hivyo hata iweje!


“Siwezi kushea penzi na Wema hata siku moja, niaminini, nina maisha yangu mengine kabisa wapo wanaoweza kufanya hivyo lakini si mimi , ” alisema Hamisa .
Siwezi Kuwa Na Uhusiano Wa Kimapenzi Na Diamond Platnumz Siwezi Kuwa Na Uhusiano Wa Kimapenzi Na Diamond Platnumz Reviewed by Admin on Tuesday, June 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.