Unordered List

Definition List

Msanii Bikra Atoa Ahadi Kuliwa Uroda Na Boko Haram Kama Watawaachilia Wale Watekwa Wanawake

Msanii kutoka Nigeria ambaye pia ni bikra Adokiye Kyrian mwenye miaka 23 ameahidi kutoa bikra yake kwa boko haram kama wataachilia huru wale wanawake waliowateka nyara.

Adokiye, ambaye pia ameahidi kuuza bikra yake kwa yeyote atakayemnunulia mamake ndege amefunguka kuwa huko radhi kuliwa uroda kama maombi yake yatakubaliwa.

Hivi ndivyo alivyoandika kwa mtandao;
"Those little girls, where they are and what could be happening to them. It is just unfair. They are too young. I wish I could offer myself in exchange." "Even if 10 to 12men have to take me every night, I don't care. Just release these girls and let them go back to their parents."

Cheki picha za huyo mdada.






Msanii Bikra Atoa Ahadi Kuliwa Uroda Na Boko Haram Kama Watawaachilia Wale Watekwa Wanawake Msanii Bikra Atoa Ahadi Kuliwa Uroda Na Boko Haram Kama Watawaachilia Wale Watekwa Wanawake Reviewed by Admin on Thursday, June 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.