Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aonyesha Umbo Lake, Na Gari Lake La Thamani

Kim Kardashian amerusha majibu kwa mahasimu wake, kuwadiss kuwa ana pesa nyingi.

Kupitia hii picha aliyoiweka, Kim amedhihirisha kuwa anapesa nyingi kwa kupiga pozi sehemu iliyopambwa huku akisimama kando ya gari(Lamborghini) la mpenziwe Kanye West.

Pia ni hili gari ambalo linamilikiwa na mtoto wake North West.

http://facebook.com/bkuhabari

Kim Kardashian anakashifiwa na mashabiki wake mahasimu kwa kupiga picha ya makalio akiwa pamoja na rafiki yake Blac Chyna inayokisiwa kuwa imekuwa photoshopped, jambo ambalo Kim analipinga.

Hapa Kim anajaribu kuwadhihirishia kuwa mahasimu wake waendelee kupiga kelele huku yeye akitabasamu kwenda kupokea cheki kila wakati kwa benki.

Anyway hao mahasimu wake ndio wanaomfanya azidi kutajirika na kupata umaarufu zaidi.
Kim Kardashian Aonyesha Umbo Lake, Na Gari Lake La Thamani Kim Kardashian Aonyesha Umbo Lake, Na Gari Lake La Thamani Reviewed by Admin on Tuesday, January 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.