Unordered List

Definition List

STUDIO: DIAMOND PLATINUMZ KUTOA KOLLABO NA PROF.J. NOMAA!!!

Msanii mkongwe katika game ya Bongo Fleva Joseph Haule (Prof. Jay) ambae amesababisha ushawishi mkubwa sana kwa kijana kuingia kwenye game hii na hata baadhi ya wazazi kuelewa muziki huu.

Kupitia kurasa yake ya Facebook Jay amepost picha akiwa katika studio za Bongo Records inayomilikiwa na Producer mkongwe nchini Tanzania P. Funk Majani wakiwa pamoja na Diamond Platinum.

Amepost picha hiyo pamoja na maneno haya "Ndani ya Bongo Records with the Super dupa producer P - funk Majani and @diamondplatnumz himself Muda Huu # COOKING for all yall'.... kaeni mkao wa kula watu wangu!!!"

Hivyo kuna kila dalili ya kuwepo collabo ya wawili hao ambayo inapikwa na P. Funk, vuta picha itakuwaje Msanii mkongwe + Producer Mkongwe + Msanii anaevuma zaidi kwa sasa = Jibu unalo.
STUDIO: DIAMOND PLATINUMZ KUTOA KOLLABO NA PROF.J. NOMAA!!! STUDIO: DIAMOND PLATINUMZ KUTOA KOLLABO NA PROF.J. NOMAA!!! Reviewed by Admin on Tuesday, January 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.