Unordered List

Definition List

Msanii Jaguar Aozea Kwa Jela

Kutoka kula vyakula aina ya pizza hadi kula vyakula vilivyojaa wadudu, msanii anayesifika nchini Kenya kwa kuwa na Pesa nyingi na stadi katika nyimbo za rap amepata tiketi ya bure kuingia korokoroni.

Relax, msanii huyu aliyetoa nyimbo mpya ya 'Kioo' baada ya kipepe na kigeugeu, sasa ametarajiwa kuzindua video yake mpya ya nyimbo ya Kioo ambayo imemfanya yeye kuingia hadi jela kushoot video hio.

Jaguar aliweza kupata kujihusisha na wafungwa na kupata kujua mateso yao yote wanayoyapitia. Aliweza kuyapitia mateso ambayo wafungwa hao wanapitia wakati alipokuwa akishoot hio video.

Hebu cheki baadhi ya picha katika hio video:


Msanii Jaguar Aozea Kwa Jela Msanii Jaguar Aozea Kwa Jela Reviewed by Admin on Monday, January 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.