Unordered List

Definition List

Diamond Apagawisha Nairobi (PICHA)

Msanii Diamond amekuwa akigonga vicha vya habari wakati wa ziara yake alipokuwa jijini Nairobi huku akihojiwa na vituo kadhaa vya habari.

Staa huyu safari ya kutoka Dar hadi Nairobi imekuwa ya mafanikio. Ziara yake kuu ilikuwa kufanya shoo ya kuu ambayo imedhaminiwa na Safaricom.

Ilifaulu...

Picha tulizozipata katika blog yetu ya bkuHABARI imemuonyesha Diamond akipagawisha Nairobi haswa wanawake karibu wote waliohudhuria tamasha hio.

Cheku picha hapo chini:






Diamond Apagawisha Nairobi (PICHA) Diamond Apagawisha Nairobi (PICHA) Reviewed by Admin on Sunday, January 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.