Unordered List

Definition List

LUPITA NYONG'O Ashida Tuzo La Critics Choice Award, Afanya Kila Mtu Kulia

Lupita Nyong'o, staa wa Hollywood ambaye mizizi yake ni mkenya siku ya Alhamisi aliweza kushinda tuzo la best supporting actess katika critics choice awards.

Staa huyu wa filamu ya 12 Years A Slave alichukua tuzo lake huku akitokwa na machozi...halafu kila mtu akaanza kudondokwa kwa machozi kwa mwadada huyu ambaye aliigiza kama mtumwa katika filamu hio.

Hebu cheki tukio zima lililojiri katika video hapa chini



Lupita Nyong'o Afanya Watu kutokwa Na Machozi
LUPITA NYONG'O Ashida Tuzo La Critics Choice Award, Afanya Kila Mtu Kulia LUPITA NYONG'O Ashida Tuzo La Critics Choice Award, Afanya Kila Mtu Kulia Reviewed by Admin on Saturday, January 18, 2014 Rating: 5

1 comment:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.