Unordered List

Definition List

Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba!!!

Nisha
Msanii wa Bongo Movies Nisha ni Mgonjwa...yuko kitandani hoi.

Ugonjwa wake umesababishwa na tendo la kuchoropoa mimba changa.

Kwa mitandao ya kijamii kulikuwa na tetesi nyingi baada ya staa huyu kuugua kwa ugonjwa wa ghafla kwa mtandao.

Lakini yote hayo yamewekwa wazi.

Kulingana na habari zilizotufikia kutoka kwa GPL, inasemekana staa huyu alijaribu kuavya mimba ambayo haikumuendea kama alivyopanga jambo ambalo lilimdhuru afya yake. Sahizi anauguza akiwa kitandani.

Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba!!! Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba!!! Reviewed by Admin on Thursday, January 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.