Unordered List

Definition List

Picha 16 Za Kudengua Mauno Kwa Mastaa a.k.a Twerking, Zimetishaa

Huu mchezo mpya wa mastaa kudengua mauno ama kwa jina jingine twerking ilivuma sana mwaka wa 2013 na inaonekana kuwa style hio itakuwepo kwa muda mrefu.

Inasemekana mtindo huo wa kudengua mauno ulianzishwa na msanii machachari Miley Cyrus na mastaa wengine wakafuatilia mtindo.

Katika picha za GIF zilizokusanywa katika blog yetu imeonyesha mastaa kuanzia Kim, Lady Gaga, Nicki Minaj na wengineo wakifanya mtindo huu....

Kuanzia Rihanna akifanya ngono na upepo hadi kwa Miley Cyrus akimpagawisha Robin Thicke.

Hebu cheki mwenyewe hapo chini picha zenyewe

Picha 16 Za Kudengua Mauno Kwa Mastaa a.k.a Twerking, Zimetishaa Picha 16 Za Kudengua Mauno Kwa Mastaa a.k.a Twerking, Zimetishaa Reviewed by Admin on Tuesday, January 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.