Unordered List

Definition List

SANDRA AFUNGUKA: BONGO MOVIES WANAPENDA RUSHWA YA NGONO!!!

Sandra, staa wa bongo movies amefunguka kuwa tasnia ya filamu ya bongo movies haina faida kwani rushwa ya ngono inadhaminiwa kuliko jambo jingine.

Salma Salmin aliendelea kusema kuwa kikubwa kinachoikwamisha tasnia hiyo ambayo kwa sasa inaongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ni watu kusaidiana wenyewe kwa wenyewe kwa kuwa labda wanatoka kimapenzi au kutegemea kupewa rushwa ya ngono ili impe shavu mtu.

Bongo movies si mara ya kwanza kuanikwa kuwa rushwa ya ngono imekidhiri, matukio kadhaa ikiwemo madirector wakinasuliwa live katika fuska ya ngono imeshawahi kuanikwa, ya mwisho ni lile tukio la director aliponasuliwa akila uroda na mke wa watu

“Namsihi sana huyu kiongozi wetu wa sasa awe makini na hili suala, yeye pamoja na utawala wake wote wapinge haya mambo na tushikamane ile kuleta maendeleo, maana kila siku wanaopewa madili ya maana ni walewale lakini wengine tunaheshimika kwa majina tu huku dhiki zikitutawala,” alisema Sandra.
SANDRA AFUNGUKA: BONGO MOVIES WANAPENDA RUSHWA YA NGONO!!! SANDRA AFUNGUKA: BONGO MOVIES WANAPENDA RUSHWA YA NGONO!!! Reviewed by Admin on Friday, January 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.