Unordered List

Definition List

DIAMOND AMETISHAAA!!! JUMBA LAKE JIPYA KARIBU KUMALIZIKA!!

Screen Shot 2014-01-08 at 10.10.01 PM
Diamond Platinumz haipiti wiki kabla hujaskia stori zake mpya, kiufupi kila siku anagonga vichwa vya habari.

Waikumbuka ile siku Diamond aliweka picha ya jumba lake lilipokuwa jikoni?

Round hii Platinumz ameweka picha yake mpya kwa mtandao wa Instagram kuonyesha kuwa jumba lake liko karibu kumalizika akionyesha swimming pool yake a.k.a kidimbwi cha kuogelea.

Katika akaunti yake ya Instagram, Diamond aliweka picha hio yake mpya na kuachilia maneno haya:
Wachina wa nini ilhali watanzania wanaweza???...#swimmingpool...#mynewhome

Cheki picha yenyewe ya Instagram hapa:


DIAMOND AMETISHAAA!!! JUMBA LAKE JIPYA KARIBU KUMALIZIKA!! DIAMOND AMETISHAAA!!! JUMBA LAKE JIPYA KARIBU KUMALIZIKA!! Reviewed by Admin on Thursday, January 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.