Unordered List

Definition List

Gardner ajitambulisha Kama Single Boy, Lady Jaydee Hana Chake Tena


Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am singleboy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.

Hii inajiri baada ya Gardner kumpeleka Lady Jaydee kortini kumshtaki kuwa wanataka mali yao wawili igawanywe nusu kwa nusu kwani pia yeye alichangia kutoa jasho.
Gardner ajitambulisha Kama Single Boy, Lady Jaydee Hana Chake Tena Gardner ajitambulisha Kama Single Boy, Lady Jaydee Hana Chake Tena Reviewed by Admin on Sunday, November 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.