Unordered List

Definition List

Shaa, AY Kuingiza Mikwanja Mirefu


Hivi karibuni wasanii mbalimbali wa Afrika Mashariki wakiwemo Shaa, AY, Jose Chameleone na Maurice Kirya waliungana na wenzao wa Kenya ambao ni pamoja na Nameless, Eric Wainaina na Rabbit walikutana jijini Nairobi Kenya kupika kitu kikubwa.

Wasanii hao walikuwa nchini humo kushoot reality TV show inayotarajiwa kuwa gumzo. Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Star, kuwa ni show ya channel ya Maisha Magic.

Chanzo hicho kimesema gharama za utayarishaji wa show hiyo inaweza kufikia shilingi za Kenya milioni 100 hadi 200. Kilisema wasanii hao watakuwa wamelipwa ujira mnono.
Shaa, AY Kuingiza Mikwanja Mirefu Shaa, AY Kuingiza Mikwanja Mirefu Reviewed by Admin on Saturday, November 22, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.