Unordered List

Definition List

Vai: Natengwa Kwa Sababu Ya Usagaji

Stori: Gladness Mallya

MSANII wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amesema sasa hivi yuko kwenye wakati mgumu kutokana na baadhi ya marafiki na ndugu kumtenga wakimhusisha na skendo ya usagaji.

Akichonga na paparazi wetu, Vai alisema amekuwa akiumia na kukosa raha kwani kila kona anayokatiza anaitwa msagaji kutokana na kuwa na mashosti wengi wenye katabia hako, jambo linalomfanya atengwe.“Kila ninakopita naitwa msagaji, hata baadhi ya marafiki wananikimbia baada ya wazazi wao kuwakataza kwamba wasiwe na mazoea na mimi kwa sababu ni msagaji, ukweli ninaumia sana kwani sina tabia hiyo jamani naombeni watu wanielewe,” alisema Vai.

“Kila ninakopita naitwa msagaji, hata baadhi ya marafiki wananikimbia baada ya wazazi wao kuwakataza kwamba wasiwe na mazoea na mimi kwa sababu ni msagaji, ukweli ninaumia sana kwani sina tabia hiyo jamani naombeni watu wanielewe,” alisema Vai.
Vai: Natengwa Kwa Sababu Ya Usagaji Vai: Natengwa Kwa Sababu Ya Usagaji Reviewed by Admin on Friday, November 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.