Anaishi katika shamba, gari lake officially la kazini ni aina ya Volkswagen 1987. Anatoa asilimia 90 ya mishahara yake kama misaada, Rais wa Uruguay, Jose Mujica si rais wa kawaida ambaye unamtambua.
Kama kawaida inajulikana kuwa marais wa nchi huishi maisha ya kitajiri, wengine kiasi cha kuwa wanapora mali kufanya uchumi wa nchi kuzorota. Lakini kwa Mujica hilo ni jambo geni.
Sanasana amepewa jila la 'rais maskini zaidi' kwa sababu ya vile anaendesha maisha yake. Mujica alikataa maisha ya kifahari ambayo ameahidiwa na serikali yake na badala yake aliamua kuishi kama mtu wa kawaida. Mujica akiwa na bibi yake waliamua kuishi nje ya mji mkuu sehemu ambayo haina hata barabara ya kawaida.
Kando na kuwa wana walinzi wawili...rais huyu maskini hujifanyia kazi wenyewe kwani hawana wafanyikazi wa kuwatumikia.
Kulingana na takwimu iliyofanywa mwaka 2010 kujua fedha zinazomilikiwa na maraisi, Mujica ilibainika kuwa kiwango cha pesa anachomiliki aka utajiri wake ulikuwa ni $1,800 sawia na bei ya gari lake.
Ni uzima kweli ama ni uzee ndio unamsumbua?

Kutana Na Rais Maskini Zaidi Ulimwenguni
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano