Unordered List

Definition List

Msanii Wa Injili Willy Paul Afunguka Issue Ya Mpenzi Wake Kuvuta Bangi

Kando na kukumbwa na skendo nyingi zisizokuwa na mwisho especially zinazohusiana na kuonekana na wanawake wengi, staa wa nyimbo ya 'Tamu Tamu' ameingia katika rada za wanahabari na issue zima la kuwa na mpenzi ambaye anatumia na kuvuta bangi kama maji.


Bila kuingiwa na woga wowote Willy Paul amefunguka katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa 'mui huwa mwema' na kuongezea kuwa ni Mungu pekee ndiye muamuzi kwa maisha ya binadamu hivyo hakuna mtu anapaswa kuhukumu.

Hivi ndivyo alivyofunguka:
People change.... I have made a stand... to stand with my girlfriend through thick and thin.... she had a very bad past but now her life is all new.. thanks be to God... I love her so much and will do everything possible to make her happy especially now that shes all new... everybody has a past so I dont think its wise for anyone to judge her. No one is perfect... you can hate but that wont change the fact that shes changed. .. only God can judge."
Msanii Wa Injili Willy Paul Afunguka Issue Ya Mpenzi Wake Kuvuta Bangi Msanii Wa Injili Willy Paul Afunguka Issue Ya Mpenzi Wake Kuvuta Bangi Reviewed by Admin on Sunday, November 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.