Unordered List

Definition List

Alichokisema Penny Baada Ya Diamond Platnumz Kuachana Na Wema Sepetu


Mtangazaji aliyewahi kujiachia kimahaba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema mwanamuziki huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tena.

Kauli ya mwanadada huyo ilikuja baada ya kuulizwa kama anaafikiana na kauli ya mama wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu kwamba, kwa kuwa Wema kamuacha Diamond basi staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo bora akampose yeye.

“Mmh! Hapa suala la Diamond kurudiana na mimi halipo kabisa maana simhitaji yeye wala mwanaume mwingine yeyote, mimi ninaye wangu tayari ambaye ameshanichumbia hivyo sitarajii kabisa kuwa na mwingine zaidi yake,” alisema Penny.
Alichokisema Penny Baada Ya Diamond Platnumz Kuachana Na Wema Sepetu Alichokisema Penny Baada Ya Diamond Platnumz Kuachana Na Wema Sepetu Reviewed by Admin on Friday, November 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.