Kuna ule msemo unaosema ukila kwa watu pia kwako kwaliwa.
Kulingana na uvumi unaoendelea na mtandao wa Daily Post unadai kuwa bibiye pasta tapeli Nairobi Victor Kanyari alikuwa anamwendea kinyume kindoa kwa muda mrefu.
Habari hizo zikiambatanishwa na picha zimemuonyesha Betty Bayo katika mapozi ya kimahaba na jamaa ambaye ni mwigizaji wa filamu na pia ni organiser kwa jina Prince Ken Kanyi.
Picha zenyewe bila kuambiwa nini lazima ushuku kuwa kuna kitu ambacho si cha kawaida kinachoendelea.
Cheki picha zenyewe:
Pasta Victor Kanyari wiki iliyopita aliweza kuanikwav kwa jinsi anavyovunja ndoa za wenyewe na jinsi alivyokuwa akiwatapeli wanakondoo wake fedha

Huyu Ndiye Jamaa Anayemfaidi Bibi Ya Pasta Victor Kanyari
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano