Unordered List

Definition List

Finally Nisha Amwonyesha Mtoto Wake Wa Kike Baada Ya Kupinga Kuwa Kazaa

Baada ya ya kukana kwa muda mrefu kuwa hana mtoto, Nisha aka Salma Jabu finally amejitokeza na kumwanika mtoto wake wa kike wa miaka kumi aitwae Iptysam Othman ‘Angel’.


“Mimi ni mama bora, ndiyo maana nimekuwa nikiulizwa na vyombo mbalimbali vya habari kama nina mtoto nilikuwa nakataa kwa sababu sitaki kumkuza mwanangu kupitia media, ni bora akishakua mwenyewe atajitangaza kupitia kazi zake, sikupenda kumwanika kwenye vyombo vya habari kwa sababu siyo maadili mema,”alisema Nisha.


Hata hivyo Nisha alianza kusutwa na mapaparazi waliotaka kufahamu kama ana mtoto wa pili Nisha alipinga madai hayo na hakuongea zaidi.
Finally Nisha Amwonyesha Mtoto Wake Wa Kike Baada Ya Kupinga Kuwa Kazaa Finally Nisha Amwonyesha Mtoto Wake Wa Kike Baada Ya Kupinga Kuwa Kazaa Reviewed by Admin on Wednesday, November 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.