Jina la Agness Masogange limetulia kutajwa katika blogsphere za udaku kwa muda sasa baada ya yeye kuchukua cheti cha passpoti cha kuwa raia rasmi nchini Afrika Kusini. So huko Sauzi anafanya nini?
Kama kawaida Masogange atabakia kuwa Masogange hivyo mambo aliyokuwa akiyafanya akiwa Bongo ndiyo atakayoyafanya akiwa Sauzi.
Katika video aliyoirusha wikendi iliyopita ilimuonyesha Masogange akiwa barabarani akifanya mazoezi kwa raha zake.
...na kawa wewe shabiki wa Masogange basi unafahamu miondoko yake ambayo hakuna mtu yeyote anaweza kufanya.
Hebu jionee mwenyewe video yenyewe hapo chini:

Video: Agness Masogange Akifanya Mazoezi...Ni Shiiida
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano