Kwa wiki sasa imekuwa gumzo la jiji kuhusu uhusiano wa Diamond Platnumz na mwanadada tajiri zaidi Zari aka TheBossLady. Kando na kuwa swala zima hili limejeuka kuwa tata, wanahabari wamejaribu kwa ari na uvumba kutaka kujua misimamo ya wawili hawa lakini mpaka sahizi hakuja patikana jibu mwafaka.
Inafahamika kuwa Diamond na Zari wameonekana sehemu kadhaa wakipiga picha za kutomasana so imewabidi mapaparazi kutaka kujua habari zaidi kwa dada yake Diamond ambaye pia ni hiari yake.
Kulingana na Halima Kimwana, japo alionyesha tabasamu la kuwa anaficha kitu, alikataa kuongea swala lolote kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari. Hivi ndivyo alivyodai: “Jamani mimi sifahamu chochote na siwezi kuzungumzia kwa kuwa sijui na sihusiki,” alisema Halima anayedaiwa kumuunganishia Diamond kwa mademu kibao japo tuhuma hizo anazipinga.
Hivi waamini Diamond ana uhusiano wa kimapenzi na Zari?

Dadake Diamond Halima Kimwana Afunguka Ishu Ya Mapenzi Ya Diamond Na Zari
Reviewed by Admin
on
Thursday, November 20, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano